HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 May 2009

ITF TUTAENDELEA KUSADIA NCHI MBALIMBALI KATIKA MAENDELEO YA TENNIS

Mwakilishi wa ITF wa afrika mashariki Prince Madema amsema I T F itaendelea kusaidia kukuza mchezo wa tennis afrika mashariki alizungumza leo wakati mafunzo ya makocha wa mchezo wa tennis yaliyokuwa Gymkhana Club na vilevile amesema kuwa anafurai kuona watu wakionyesha mwamko hasa kwa makocha ambao wajitokeza kuja kujifunza mchezo aliongeza kwa kusema kuwa mafunzo hayo yatasaidi kuongeza ranke ya Tanzania kutoka namba kumi na 13 na kusogea mbali zaidi. huyu ndiye prince Madema akizunguma alipokuwa akihojiwa na waandishi wa katika viwanja vya Gymkhana picha ya juu na ya chini baadhi ya makocha wakipta mafunzo Vilevile mafunzo hayo yatasaidia kushawishi wazamini kuja kwa wingi kusaidia mchezo wa tennis kwa hata huo na unalipa sio kukazania mpira wa miguu peke yake.kwani kwa sasa Tanzania ambayo inaendelea vizuri kwa juhudi zinazoonyeshwa na chama cha tennis Tanzania TTA.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers