HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 March 2013

Issa Hayatou TUTEGEMEE BADILIKO GANI KATIKA SOKA YA AFRIKA ?


 http://nigeriapoliticsonline.com/wp-content/uploads/2013/02/isa-hayatou-150x150.jpg 

Shirikisho la soka barani afrika limemchagua tena   Issa Hayatou huku akiwa anagombea peke yake katika nafasi ya Urais wa shirikisho hilo   (CAF) ambapo sasa ataongoza kwa miaka miinne ya mwisho ya .
Raia huyo wa  Cameroon alikuwa mgombea pekee katika kiti hicho na . Hayatou alichaguliwa  10 March 1988 huko  Marrakech kwa mara ya kwanza na sasa amechaguliwa kuingoza tena katika jiji hilo hilo nchini  Morocco.Rais  FIFA  , Sepp Blatter alimpa cheti cha heshima Rais  Hayatou baada ya kuongoza shirikisho la soka la africa kwa miaka  25



North Zone: Mohamed Raouraoua Mgombea pekee.
Central and East
Magdi Sham el Din (Sudan) amechaguliwa kama Mgombea pekee .

West Zone A:
Amadou Diakite (Mali) Amechaguliwa tena kura 35
Augustin Senghor (Senegal): kura12
Hassan Bility (Liberia):kura  7
West Zone B:
Anjorin Moucharafou (Benin)kura  27 .
Aminu Mohammed Maigari (Nigeria): kura  17
Hima Souley (Niger): Kura 9 ;
Anjorin Moucharafou (Benin) alichaguliwa katika mzunguko wa pili kura  35
Aminu Mohammed Maigari (Nigeria): kura  19

Central zone:
Djibrine Adoum (Chad) re-elected with 39 votes
Placide Engandzas (Gabon): 14 votes
South Zone: (2 positions)
.
Suketu Patel (Seychelles) reelected in the first round with 33 votes
Ahmad (Madagascar): 25 votes
Danny Jordaan (South Africa): 23 votes
John Muinjo (Namibia): 13 votes
Fezal Sidat (Mozambique): 11 votes
2nd round
Ahmad (Madagascar) elected to the second round with 27 votes
Danny Jordaan (South Africa): 21 votes
John Muinjo (Namibia): 1 vote
Fezal Sidat (Mozambique): 1 vote 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers